Mafunzo na Biashara za Ujasiliamali

Mafunzo na Biashara za Ujasiliamali

Share

Hair growth, hair food,and hair treatment

13/02/2025

Hii ni shampoo asili isiyo na chemikali ambayo itakata nywele zako

📢 Najua unashangaa kwa nini nywele zako zinakatika jibu ni shampoo unayotumia je ni salama kwa nywele zako na imezingatia aina ya nywele

📢 Weka comment k**a una tatizo la nywele kukatika na kuwa ngumu tupate ujuzi

16/07/2023

Karibuni kwa mafunzo ya ujasilimali k**a unahitaji kujifunza chochote unakaribishwa

15/12/2022

Kwa urembo wa nywele na rishe tupigie tukuhudumie
0625332576

12/07/2022

Habari za masiku ni furaha yangu kwa wote mnaoendelea kulike pia nawashuru sana kwa kuonyesha hali ya kuthamini hii page
Nilikuwa na ombi wale wote mnaolike naombeni kwa kuna kitu mnahitaji kufahamu naomba tuunde group kwa ajili ya ujasiliamali na kwenye hilo group tutakuwa na mafunzo kwa madarasa maalum pia mbinu za ujasiliamali na kupata soko
Namba ya Whatsapp ni 0783433710
Nitumie neno unga basi nitakuunga ni buree

10/05/2020

Leo nahitaji kuondoa ujinga kidogo na kujalibu kuwashilikisha vijana wenzangu wote ambao tuna pambania ndoto zetu na kufika pale tunapo taka au ndoto zetu zinapoishi siku zote katika maisha ili ndoto yako iwe lazma uishi ndan ya hiyo ndoto
Nahis unajiuliza na kushangaa nawezaje kuishi ndani ya ndoto
Jibu ni jepesi sana kijana mwenzangu rafiki yang ndugu yangu
Tunaweza kuishi ndani ya ndoto zetu kwa kujibidiisha na kutochagua kazi ya kufanya inayokuletea kipato ambacho kitafanikisha kufikia ndoto yako lahasha kijana mwenzangu usije tu ukawa mdokozi na kusema kuwa unapata kipato cha kufikia malengo ama ndoto yako hiyo si njia sahihi
Kijana mwenzangu hvyo vyote nimeongea ila ni kipi unafanya ili uwe na kipato ambacho kitafanikisha kufikia ndoto zako???
KIJANA MWENZANGU LEO INGAWA KWA KIFUPI TU HEBU NAOMBA MDA WAKO NIKUFUNZE KIDOGO HIKI KITU AMBACHO KINAWEZA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUKUPATIA KIPATO
LEO NAHITAJI KUKUFUNDISHA UTENGENEZAJI WA SABUNI YA UNGA:
Jinsi ya kutengeneza Sabuni ya unga
MAHITAJI :
°Optical bright
°sodium carbonate
°sulphonic acid
°soda ash
°Nasa
°perfume
°mwiko, beatha, gloves

HATUA ZA UTENGENEZAJI
1.Andaa na tayarisha beseni lako ambalo linaendana na wingi wa Sabuni unayotaka kutengeneza na anza kutengeneza kwa kufuata hatua zifuatazo
(i) Weka sulphonic acid lita moja kwenye beseni lako
(ii) Weka sodium carbonate lita tatu 3
(iii) Koroga kwa muda wa dakika 10
(iv) Baada ya hapo weka Optical bright vijiko 6 vya chakula
(v) Weka Nasa vijiko kumi na sita 16 vya chakula
(vi) soda ash kilo tano 5
(vii) Malizia kwa kuweka perfume kiasi changanya mchanganyiko wako vizur
(viii) Baada ya mchanganyiko huo kuwa tayari anika kwenye kivuli kwa kuwa juani inaweza kuyeyuka
>>>Sabuni yako itaanza kukauka kwa kujiachia achia Baada ya kukauka kusanya Weka kwa mifuko au vifungashio tayar kwa kuuza


Kijana mwenzangu njia za kuongeza kipato chako na ni nyngi sana

08/05/2020

Kwa kijiko kimoja tu nguo telee
Sabuni inayifua nguo yenyewe
Kwa buku tu jipatie laundry yako sas

08/05/2020

Kwa mkulima bora kwa mazao bora jipatie super grow sasa ufurahie kilimo chako kilimo cha kisasa kinaendana na usasa

Want your business to be the top-listed Hair Salon in Mbagala?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Mbagala

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mafunzo na Biashara za Ujasiliamali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Mbagala.