BF SUMA health products
BF SUMA health products ni page inauokupa nafasi kubwa mtumiaji wa facebook nafasi ya kujifunza mata
20/09/2021
0623295832
06/09/2021
https://chat.whatsapp.com/CQfZu410ptuG1MocT8Uakk
ZINGATIA:
MAFUNZO NA USHAURI UNAOTOLEWA KATIKA GROUP HILI LA *LIVE HEALTHLY LIFE* NI BURE KABISA EPUKA MATAPELI NA TOA TAARIFA ZA UTAPELI HUO KWA ADMIN WA GROUP.
SHERIA ZA GROUP LA *LIVE HEALTHLY LIFE*Ni marufuku kutuma picha, video au chochote kwenye group nje ya maudhui ya group letu.Ni marufuku kutumia lugha chafu k**a vile ya matusi katika group hiliHauruhusiwi kutuma matangazo, link, au kitu binafsi au mambo mengine yoyote bila ridhaa ya Admin wa group.Kwa maoni na ushauri juu ya group letu zuri wasiliana na Admin wa group.
NB..kwa yeyote atakaefanya tofauti sheria itafata mkondo wake.
NB..Zingatia sana sheria ya matumizi bora ya mitandao.
KARIBUNI NA TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUZIJENGA AFYA ZETU KWA AFYA ZETU NDIO MTAJI WETU.
KWA MAONI ZAIDI WASILIANA NAMI KWA SIMU NO:0623295832
0712162454
tuendelee kushare link ili nawengine wafaidi
MUNGU AWABARIKI SANA.
05/09/2021
Follow this link to join my WhatsApp group:
LIVE HEALTHLY LIFE (π«) WhatsApp Group Invite
24/09/2020
*FAHAMU TATIZO LA MIRIJA YA UZAZI KUJAA MAJI NA KUZIBA PAMOJA NA SULUHU YAKE ILI KUPATA MTOTO*
MIRIJA YA UZAZI KUJAA MAJI NI NINI?
Hali ya kujaa maji katika mirija ya uzazi ya wanawake ya huitwa *Hydrosalpinx* kwa kitaalamu.
Ni tatizo ambalo hujitokeza kwa wanawake kutokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa yasio tibiwa ( pelvic inflamatory disease). Mara nyingi husababisha tatizo la ugumba na maumivu ya kiuno.Mirija ya uzazi hujishikiza kwenye kuta kulia na kushoto wa tumbo la uzazi, Hupitisha mayai kwa kila mwezi kutoka kwenye o***y hadi kwenye mji wa uzazi, urutubishaji wa yai la uzazi huyokea katika mirija hii.
*SABABU ZA MIRIJA YA UZAZI KUZIBA*
Mara nyingi mirija ya uzazi huziba kutokana na;
(Pelvic inflamatory disease) unaotokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa ambayo hayakutibiwa k**a kisonono na klamidia TB ya mirija ya uzazi Upasuaji maeneobya kiunoni (pelvic surgery) Endometriosis,maambukizi ya apendiksi (appendicits), saratani ya mirija ya uzazi
*DALILI ZA MIRIJA YA UZAZI KUZIBA*
Wanawake wengi wanaweza wasiwe na dalili zozote, isipokua *kupata matatizo katika kupata mtoto* dalili zinazo jitokeza mara nyingi hua ni
ποΈMaumivu ya kiuno
Hujitokeza mara kwa mara hasa siku chache kabla au baada ya kuingia kwenye hedhi
Uchafu kutoka sehemu za siri
*JINSI YA KUGUNDUA TATIZO HILI*
Kuna vipimo kadhaa vinavyoweza kuoneaha k**a mirija ya uzazi imeziba kutokana na kujaa maji
Hysterosalpingogram
Hii ni aina maalumu ya x-ray ya kiuno, ambayo kimiminika maalumu huinhizwa ndanibya mji wa uzazi kupitia mji wa uzazi. K**a mirija haijaziba kimiminika huweza kupita mpaka ndani kabisa ya kiuno na k**a imeziba haitaweza kupita.
Hii itaonekana katika hicho kipimo (hysterosalpingogram)
Utrasound ya kiuno (pelvic utrasound)
Hii itaweza kuonesha k**a mirija imejaa maji na ina ukubwa kiasi gani pia itaweza kuonesha k**a kunamatatizo mengine kwenye via vya uzazi vya ndani.
Upasuaji wa tumbo (laparoscopy)
Upasuaji huu hufanyika kupitia kamera maalumu ili kutazama mirija
18/09/2020
30/08/2020
Hii ni maalumu kwaajili ya wanawake pekee
*Je, wewe ni mwanamke unayehitaji kujua na kujifunza kuhusiana na afya ya uzazi na urembo??*
Sasa unaweza kujifunza buree kupitia whatsaap group mambo k**a vile
πππ
β
*Matatizo mbalimbali ya kiafya kwa wanawake wote na tiba zake*
β
*Bidhaa asilia za urembo za kampuni ya bf suma zinazompa mwanake uhuru na kujiamini wakati wote*
Jiunge sasa na group la whatsapp na unufaike zaidi.
Gusa hapa kujiunga na kundi la afya kwa wanawake la whatsapp
ππππππ
WhatsApp Group Invite WhatsApp Group Invite
30/08/2020
Tumia anatic herbal soap na ferminage kwaajil ya urembo asilia wa ngozi nyako
Enjoy pure, natural and pleasing nature of your skin
29/08/2020
Kazi za prostate pamoja na x-power man capsule
* inaondoa uvimbe katika tezi dume bila upasuaji pia inakinga na kuondoa matatizo ya u.t.i sugu kwa wanaume
* Inaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume na kuongeza utendaji mzuri wa kazi kayika tezi dume kwa suala zima la uzazi kwa wanaume wenye miaka 40 na kuendelea
*X-power men haimfanyi mwanaume kua mtumwa wa tendo la ndoa bali inamfanya wanaume kua vizuri na bora kisaikolojia na kumpa uwezo wa kumridhisha mwenza wake , inaondoa hchovu,maumivu ya mgongo, na kumfanya mwanaume awe katika hali nzuri wakati wa tendo la ndoa.
* Inaongeza uwezo wa uzalishaji wa mbegu za kiume na kuzifanya ziishi kwa muda mrefu,
* Pia ni nzuri kwa wanaume waloathirika na punyeto kwa muda mrefu.
Sasa unaweza kuagiza na ukaletewa popote ulipo
Free derivery
Piga simu 0623295832
Email:[email protected]
Suluisho la mfumo wa uzazi kwa wanaume tumia
Prostate relax, x-power man capsule na x-power man coffee for men.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Tabata
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when BF SUMA health products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.